Home » » Agness Masogange aongea ya Moyoni kuhusu yote anayozunguziwa

Agness Masogange aongea ya Moyoni kuhusu yote anayozunguziwa


 

Anaweza kuwa ndiye video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on two videos pekee anabaki kuwa V,queen mwenye jina kubwa zaidi. Siku za karibuni amekuwa akimake headlines on social networks pia magazeti baada ya video na picha zake chafu kusambaa on social networks,TEENTZ imefanya nae Exclusive interview na kuongea ya moyoni kuhusu yote yanayozungumzwa kumhusu.
''Me cjui hizo picha zilisambaa vipi sababu izo picha zilikuwepo kwenye camera yangu na mimi cku hiyo nilikuwa nimelewa, i was drunk sikuwa naelewa chochote na nilikuwa south Africa kwa hiyo maswala ya kuandika habari za uongo eti nimeenda south kuuza ,me sina dhiki ya kufikia kuuza mwili wangu eti nipate pesa"na ,picha niliyopiga siyo ya uchi ile hata nikikuonesha,nilikuwa nimevaa nguo kabisa ,kuna uchi nimeonesha pale?…



0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2013. MKATOLIKI ASILIA - All Rights Reserved
Template Created by Titus kapoma Published by KAPOMACLAN CO
Proudly powered by Blogger