Makamua aliongea ukweli kwamba mwaka huu uongo mkubwa alioufanya ni kudanganya kwamba single yake ya ‘bado kujuana’ amemshirikisha Super star Akon.
Alisema huo uongo wakati bado video haijatoka ila ukweli ni kwamba hajamshirikisha Akon bali ni Mtanzania anaitwa Eddo ambae kidogo ana sauti kama ya Akon, hii video hapa chini ndio ya hiyo single na huyo Eddo yuko ndani pia, itazame alafu uniambie umeipokeaje mtu wangu.
Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na
Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA
-
Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema).
Kauli ya hiyo ya Bunge im...
11 years ago



0 comments:
Post a Comment