Home » » BEHIND THE SCENE YA BARNABA NEW SONG-SOR

BEHIND THE SCENE YA BARNABA NEW SONG-SOR


Pamoja na kwamba nimekuletea hiyo video ya jinsi video mpya ya Barnaba Boy ilivyokua ikitengenezwa, nalazimika kukwambia pia kwamba Barnaba december 18 2012 anaondoka kwenda U.K kwa mwaliko wa kupiga shows zaidi ya tatu.
Hii ni mara yake ya kwanza kwenda U.K ambapo mara nyingine zilizopita alipata mwaliko lakini akashindwa kwenda kutokana na kukosa Visa, moja kati ya maswali aliyojibu ni pamoja na kitu gani alipanga kukifanya mwaka huu na hakijafanyika.
Barnaba ambae ni baba wa mtoto mmoja kasema ni show ambayo aliplan iwe inaonekana au watu wanaipata kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Youtube ambayo itakua kama show ya TV ya Fid Q ambayo anaalika waimbaji wenzake wanaonyesha vipaji vyao.

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2013. MKATOLIKI ASILIA - All Rights Reserved
Template Created by Titus kapoma Published by KAPOMACLAN CO
Proudly powered by Blogger