Home » » BLACKBERRY ITAKAYOTOKA MWAKANI

BLACKBERRY ITAKAYOTOKA MWAKANI

 Kwa wale wapenzi wa smartphones, Blackberry (RIM) wameachia baadhi ya picha za Blackberry 10 L-Series ambayo inategemea kutoka mapema mwaka ujao. Picha hizo zimeoionesha Blackberry 10 L-Series ikiwa katika muonekano tofauti ambapo ni nyembamba zaidi na ikiwa imepitia sehemu 50 tofauti za matengenezo (Carrier Labs) na inategemewa kupitia zingine katika wiki zijazo

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2013. MKATOLIKI ASILIA - All Rights Reserved
Template Created by Titus kapoma Published by KAPOMACLAN CO
Proudly powered by Blogger