Home » »

Watu wanaosadikiwa kuiba vitu vya Marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Millionea’ aliyefariki kwa ajari ya gari katika kijiji cha songa kibaoni wilayani muheza, wamesalimisha baadahi ya vitu hivyo kwa mwenyekiti wa kijiji hicho huku wao wakiendelea kuishi mafichoni kuogopa kutiwa mbaroni
Hatua ya watu hao kusalimisha vitu hivyo imekuja kufuatia hatua ya mkuu wa wilaya hiyo Subira Mgalu ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kuwatangazia kwamba wote walifanya jamabo hilo watasakwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2013. MKATOLIKI ASILIA - All Rights Reserved
Template Created by Titus kapoma Published by KAPOMACLAN CO
Proudly powered by Blogger