Home » » H-BABA ADAI KUWA DAIMOND AMECHUKUA IDEA YA NYIMBO YA NATAKA KULEWA KUTOKA KWAKE

H-BABA ADAI KUWA DAIMOND AMECHUKUA IDEA YA NYIMBO YA NATAKA KULEWA KUTOKA KWAKE



H.Baba akionesha cd na flash zenye demo ya wimbo wake (Nataka Kulewa)
H.baba ametoa exclusively kipande cha wimbo wake uitwao ‘Nataka Kulewa’ kupitia BONGO 5 ambao amemshirikisha Q-Chief. Msanii huyo anamshutumu Diamond kuiba wazo na jina la wimbo wake huo katika wimbo wake mpya wenye jina kama hilo.
Tumefanya naye mahojiano ambayo utayaangalia muda mfupi ujao kupitia hapa hapa lakini kwa sasa usikilize wimbo huo hapa ambao bado ni demo.

                      SIKILIZA HAPA KUPITIA BONGO 5 JUST CLICK

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2013. MKATOLIKI ASILIA - All Rights Reserved
Template Created by Titus kapoma Published by KAPOMACLAN CO
Proudly powered by Blogger